Kumbukumbu ya Maamuzi 021/2013 - Uteuzi wa Makamishna Wasaidizi Mei 14th 2013 Kamishna ameamua kuteua Makamishna Wasaidizi wawili kwenye timu yake. Tafadhali bofya hapa kutazama karatasi ya uamuzi.